Sera ya faragha

Psiphon inania ya kulinda maslahi ya faragha kwa wateja hawa, watumiajiwa mwisho, wasambazaji na wauzaji. Sera hii ya Faragha iliyokusudiwa kukupa habari kwa ujumla ni vipi taarifa zako za kibinafsi labda zimetumika. Psiphon imeshirikiana na Canada kwenye ofisi kuu iliyoko Ontario, na Sera yetu Faragha imeweza kukua kwa kuonyesha Canada na sheria za faragha za Ontario na amri.

Kwa habari zaidi kuhusu Canada na sheria ya faragha ya Ontario, tafadhali tembelea:

Sasisho

Mara kwa mara, Psiphon itaongezamaingizo kwetu Bulletin ya faragha. Hii hutokea kwa sababu mbili;

 • Tunabadili Sera Faragha. Hii inaweza kutokea wakati sheria mpya inaongeza mahitaji tofauti, au kama tunanza au kutotumia huduma ya upande wa tatu.
 • Tunajitenga kwa mda kwenye sera yetu ya faragha kwa kubadilisha tabia za kukusanya habari zetu. Hii kwa kawaida hufanya kwa kutatua tatizo kwenye huduma zetu, au kutuma muda mwingi wa kuchambua data zetu zinazohusiana na kuvutia tukio la udhibiti. Tutaelezea mabadiliko, kwa mfano kipi ambaco kilirekodiwa, nikwamuda gani kilihifadhiwa, na kwanini.

Data iliyoainishwa

Kazi ya mtumiaji na VPN Data

Kwanini unapaswa kujali?

Wakati unatumia VPN au proxy unatakiwa kua na wasi wasi kuhusu VPN inatoa kitu gani naweza kuona kwenye data yako, kusanya, na fanya kwenye hilo.

Wakati unatumia VPN, data zote na kutoka kwenye kifaa chako itapelekea moja kwa moja. Kama umetembelea wavuti ambayo inatumika bilamsimbo HTTP, tovuti zote za data zinaonekana kwenye VPN. Kama ukitembalea wavuti ambayo inatumia msimbo HTTPS, yaliyomo kwenye tovuti ni msimbo, lakini taarifa zingine kuhusu tovutizitzkuz zinaonekana kwenye VPN. programu zingine na huduma kwenye kifaa chako pia zita hamisha data kama zina msimbo au hazina msimbo. (Kumbuka kua hii ni tofauti kutoka kwenye usimbuaji fiche ambayo hutoa VPN yote. Hapa walijali tu kwenye data ambayo ni au sio ya msimbo ndani VPN tunn.)

Kwa huduma isyodhibitiwa, inawezekana kwa VPN kutoa kuangalia, kukusanya, na kurekebisha (mfano., kuingiza matangazo ndani) yaliyomo kwenye data yako. Kwa msimbo fiche data, bado inawezekana kwa VPN kwa kukusanya metadata kuhusu utembeleaji wa tovuti au hatua iliyochukuliwa. Unatakiwa pia kua na wasi wasi kwa VPN yako inatoa kugawana data yako kwa mtu wa tatu.

Psiphon hufanya nini HAPANA fanya na data yako?

HATUKUSANYI au kuhifadhi VPN yeyote ya data ambazohazijtajwa hapa.

HATUTA badilisha yaliyomo kwenye VPN data.

HATUWEZI kukusanya nyeti yeyote au mtumiaji wa data maalumu kwenye upande wa tatu.

Ni aina gani ya mtumiaji wa data anaweza kukusanya Psiphon?

Tutaelezew baadhi ya maana za aina za data kwa kutusaidia kuzungumza kuhusu hizo kwenye muktadha wa Psiphon.

Kazi ya mtumiaji Data

Wakati vifaa vya watumiaji vime tunn kupitia kwenye Psiphon, tuna kusanya baadhi ya taarifa kuhusu vipi itakavyo tumika. Tuna rekodi ipi itifaki ya Psiphon imetumika kuunganisha, ni kwa muda gani kifaa kili unganishwa, ni baiti ngapi zilisafiri wakati wa kikao, na mji upi, nchi, na ISP inaunganisha kutoka. kwa baadhi ya vikao (ila ni chache sana, na umarufu mmoja tu) au anuani ya seva IP (mfano., seva zisizo julikana) ambazo zilitembelewa, pia tuna rekodi ni baiti ngapi ambazo zilihamishwa kwa hilo. (Lakini URLs kamwe haitakua kamili au kitu chochote kinachofaa zaidi. Na vikao tu kwa maslahi ya jumla, sio kwa vikao vyote.)

Eneo la kijografia na habari za ISP zimefika kutoka kwenye anuani ya mtumiaji, ambazo zimetengwa mara moja.

Mfano wa kazi ya mtumiaji wa data inaweza kua: Katika wakati maalum mtumiaji ameunganishwa kutoka Mji wa New York, tumia Comcast, na imesafiri 100MB kutoka youtube.com na jumla ya 300MB.

Tunazingatia kazi ya data za mtumiaji umakini mwingi wa aina nyingi za data. Hatuwezi, kushiriki data hii na sehemu ya tatu. Tunaweka kazi za mtumiaji data kwa takribani siku 90, na tena tutazikusanya na kuzifuta. Backup ya hiyo data zinatunzwa kwa sababu ya kiasi cha mda.

Data zilizokusanywa

Data ni "zilizokusanywa" kwa kua makini na kazi ya mtumiaji data na kuchanganywa kwa pamoja kwenye fomu ya takwimu ya data ya coarse ambayo sio maalumu sana kwa mtumiaji. Baada ya kukusanyika, Kazi ya mtumiaji imefutwa.

Mfano wa data zilisokusanywa zinaweza kua: Kwenye siku maalum, watu 250 wameunganishwa kutoka Mji wa New York kutumia Comcast, na kusafili 200GB kutoka youtube.com na 500GB kwa ujumla.

Data zilizokusanywa ni nyeti kidogo kuliko kazi za data, lakini tunachukulia kama uwezekano nyeti na isishiriki katika fomu hii.

Data zilizokusanywa zinaweza kugawanyika

Lini data zilizokusanywa zitashiriki na sehemu ya tatu, tunahakikisha kua data haziwezi kua pamoja na chanzo chochote kuonyesha utambulisho wa mtumiaji.

Pia hatuwezi kushiriki habari inayohusiana na kikao cha sehemu ya tatu.

Mfano wa data zilizokusanywa kushiriki zinaweza kua: Kwenye siku maalum, watu 500 wameunganishwa kwenye mji wa New York na jumla ya 800GB kuhamishwa.

Mfano wa data ni kama haiwezi kugawanyika: Kwenye siku maalum, watu wawili wameunganishwa kwenye Los Aneles. Watu hao watakua pamoja kwenye takwimu nzima ya US, lakini hii ni kwa watu wachache wanaoshiriki kutumia data za mji kwa.

Psiphon imefanya nini kwenye kazi ya mtumiaji na Data zilizokusanywa?

Kazi na takwimu data zilizokusanywa ni muhimu kwetu ili kuweka Psiphon iliyonzuri. inaturuhusu sisi kufanya vitu kama:

 • Usimamizi wa afya na mafanikio ya mtandao wa Psiphon: Tunatakiwa kujua watu wangapi wataunganishwa, kutokea wapi, kwa kiasi gani data zitasafiri, na kama zitakua na tatizo lolote.
 • Simamia vitisho vya vifaa vya watumiaji: Tunaangalia mambukizo mabaya yanajaribu kuwasiliana amri na uthibiti seva.
 • Hakikisha watumiaji wanakua wameunganishwa wakati unachunguza censors: Tunajaribu kugundua kua mtumiaji ana tabia kama mtu wa kweli na tena kuonyesha Psiphon mpya kwao. (Hii ni listi yetu ya tekinologia seva isiyojulikana.)
 • Makadirio ya gharama za siku zijazo: Kiasi kikubwa cha data ya mtumiaji tunahamisha kila mwezini sababu kuu ya gharama zetu. Ni muhimu kwetu kuona na kuelewa kushuka kwa matumizi.
 • Kuamua asili ya matukio ya udhamini mkubwa: Tovuti na huduma maranyingi hufungiwa ghafla na kutokua na tahadhari, Ambayo inaweza kusababisha tofauti kubwa katika maeneo yanayotumiwa na Psiphon. Kwa mfano, tutakua juu ya 20x surges kwa utumiaji ndani ya siku wakati Brazil imefunga WhatsApp au Turkey imefunga mtandao wa kijamii.
 • Elewa nani tunatakiwa kumsaidia: baadhi ya tovuti na huduma haziwezi kufungiwa popote pale, baadhi mara kwa mara zitakua zimefungiwa katika nchi chache, na baadhi zitakua mara kwa mara zimefungiwa baadhi ya nchi. kuhakikisha kua watumiaji wetu wanauwezo wa kuzungumza na kusoma kwa uhuru, Tunatakiwa kujua mifumo hii, angalia nani aliyeathirika, na kufanya kazi na wahusika kwa kuhakikisha huduma zao zinafanya kazi na Psiphon.

Psiphon inachangia vipi kukubaliana na data?

Data zilizokusanywa zilizoweza kugawanyika imeshirikiwa na wadhaini, mashirika tunayoshirikiana nayo, na watafiti wa mashirika ya kijamii. Data inaweza kutumika kuona vitu kama:

 • Psiphon inafanyaje kazi vizuri
 • kufunga kwa pateni katika nchi, kwa mfano kipindi cha matukio.
 • katika maeneo ya nchi inajigawa kufikia kwa kufungua wovuti.

Tena, anonymized tu imechangia kukubaliana kwa data haita changia katika nafasi ya tatu.

Tangazo la mitandao la Mteja wa Psiphon

Kuna muda mwingine tunatumia matangazo kwa kusaidia huduma zetu, ambayo hutumia teknologia kama vile kuki na wavu za beakon. Matangazo yetu washiriki watumiaji wa kuki inawawezesha na na wenzi wao kutumia matangao msingi kwenye data unayotumia. Taarifa yeyote iliyokusanywa moja kwa moja kwenye mchakato inashughulikiwa ma timu kwenye matangazo yetu ya ushiriki wa sera faragha:

tovuti ya Psiphon

Uchambuzi wa Google

Tunatumia uchambuzi wa Google kati ya tovuti zetu kwa kukusanya habari kuhusu utumiaji. Habari zimekusanywa na uchambuzi wa Google itatumiwa tu kwa uchambuzi wa takwimu zinazohusiana kwenye tabia yako ya kivinjari kwenye hii tovuti maalumu.

Uchambuzi wa tovuti ya Google kuki ya kudumu kwenye wavu yako kivinjari kwa kutambua ni mtumiaji wa kipeke muda mwingine tembelea tovuti, lakini koku hii haitatumika na mtu yeyote iipokua Google, na data imekusnywa haitabainishwa au kupatikana na huduma kutoka vikao vingine.

Uwezo wa Google wa kutumia na kushiriki habari zilizokusanywa kwa Uchambuzi wa Google kuhusu utembeleaji wako kwenye hii tovuti imezuiliwa namasharti ya huduma ya kutumia uchambuzi wa Google na ya Sera ya Faragha ya Google.Unaweza kuchagua machaguo kwa kuzima kuki kwenye mpangilio wa upendeleo kwenye tovuti kivinjari yako.

Uhifadhi na upatikanaji wa Logging

Tunatumia Amazon S3 kwa kuhifadhi mali kama faili ya wavuti na Psiphon seva kwa kugundua listi. Mda mwingine tunawezesha logging ya upakuaji wa hizi faili. Chambua kumbukumbu hizi kutusaidia kujibu maswali kama "watumiaji wangapi wameanza lakini hawajamaliza kupakua listi ya ugunduzi seva?", "vipi upakuaji wa data utagawanyika kati ya mali ya wavuti na ugunduzi wa seva?", na "

S3 kufikia kumbukubu ya kutunza ndoo yenye anuani ya IP, wakala wa watumiaji, na nyakati za wakati. Hizi kumbukumbu zinahifadhiwa S3 yenyewe. kwahiyo Amazon imefikia kuhifadhi kumbukumbu hizo. (Walakini, Amazon imefikia habari.) Psiphon imekuza upakuaji wa kumbukumbu, data zilizokusanywa na kuchambuliwa, na kwahiyo futa kumbukumbu hizo. sheria ya data itawekwa kwa kipindi kilefu tu kwa kukusanywa na haitashirikishwa pamoja na nafasi ya tatu.

PsiCash

Mfumo wa PsiCash tu hukusanya taarifa sahihi kwa kufanya kazi ya mfumo, kusimamia ya afya ya mfumo,na kuhakikisha usalama wa mfumo.

PsiCash seva uhifadhi taarifa za mtumiaji kuruhusu operesheni ya mfumo, ikiwemo:

 • Mafikio ya mtumiaji wa tokeni kwa ujumla
 • Usawa
 • Kazi ya mwisho kwa mda
 • Kupata historia ya PsiCash, pamoja na hatua gani ya malipo ambayo mlipewa kwa
 • PsiCash imeweka historia, ikiwema kilichonunuliwa

Creating a PsiCash account is optional. If an account is created, account-specific information such as username, password, and email address (if provided) are stored on the server. When logged in to a Psiphon client, the username is also stored locally.

Kwenye tovu ya kivinjari ya mtumiaji, data nyingine zimehifadhiwa kuruhusu kwa kupata malipo na kuweka manunuzi. Data hii ni pamoja na:

 • Mafikio ya mtumiaji wa tokeni kwa ujumla
 • Wakati malipo ya PsiCash yataruhusiwa kudaiwa tena

Kwa mfumo wa ufatiliaji afya na usalama, kazi ya mfumo wa data zilizokusanywa nakukusanywa. Data hii ni kama:

 • Akaunti ya mtumiaji
 • Usawa
 • Utungo wa wakala wa mtumiaji
 • Toleo la koteja
 • Kulipwa kwa PsiCash na matumizi ya undani

Mtumiaji bianafsi hawezi kushiriki na sehemu ya tatu. takwimu za coarse zilizokusanywa zinaweza kua kushiriki, ila haiwezi kua kwenye mfumo ambao inawezekana unaweza kuwatambulisha watumiaji.

PsiCash server resources are stored in AWS, which means Amazon has access to the data.

my.psi.cash

Mtumiaji ameunda na kusimamia akaunti ya PsiCash kwenye tovuti ya my.psi.cash

reCAPTCHA

my.psi.cash uses Google’s reCAPTCHA v3 (hereinafter “reCAPTCHA”), which protects websites from spam and abuse by non-human users (i.e., bots). reCAPTCHA collects personal information that is required for the functioning of the technology and is subject to its own privacy policy. Use of my.psi.cash indicates acceptance of Google’s Privacy Policy and Terms.

Our use of reCAPTCHA is strictly limited to ensuring the continued functioning of my.psi.cash. reCAPTCHA technology performs an automatic analysis for each site request without requiring the user to take any additional actions. This analysis is based on interactions made by the user, and is used to mitigate bot and other malicious behaviour on our website. The data collected during analysis is forwarded to Google, where Google will use this data to determine if you are a human user. This analysis takes place in the background, and users are not advised it is taking place.

For more information about Google’s reCAPTCHA technology, please visit https://www.google.com/recaptcha/about/.

Cookies

my.psi.cash only uses cookies and similar tracking technologies to carry out activities that are essential for the operation of the website. Essential cookies are necessary to ensure basic functions of the website. Cookies are small text files that are stored on your computer and saved by your browser, and do not represent any risk to your device. You can configure your browser settings to personalize how you would like your browser to handle cookies. Disabling essential cookies will degrade the functionality of this website.

Mrejesho

wakati unachagua kukusanya maoni kupitia Psiphon utakua na chaguo ikiwemo uchunguzi wa data. tunatumia data hii kutusaidia shida na matatizo tutapata kitu na kusaidia Psiphon kukimbia vizuri. tuma kabisa data kwa hiari. Data iliyosimbwa kabla ya kutumwa, Taarifa za data inatofautiana, ila inaweza kujumuisha:

Madirisha

 • Toleo la mfumo wa uendeshaji
 • Uendeshaji wa anti-virusi
 • Vipi utajiunganisha na wavuti (kwa mfano, kama unatumia dayo au kunganishwa kupitia kwa wakala)
 • Kompyuta yako ina kumbukumbu ngapi za bure

Android

 • Toleo la admin
 • mfano wa kifaa
 • Ikiwa kifaa chako kina mzizi

Majibu ya barua Pepe

When you send an email request to our email auto-responder server, we are able to see your email address. While your email is being processed it is saved to the email server's disk, and it is deleted as soon as it is processed (usually in a few seconds). Your email address may be written to the server system logs. These logs are deleted after one week.

Our email auto-responder server is hosted in the Amazon EC2 cloud. This means that Amazon is able to see the email you send and our response to you.

Kwa kila barua pepe iliyotumwa, tunahifadhi kwenye taarifa zifuatazo:

 • Tarehe na muda ombi la barua pepe lilipokelewa.
 • Tarehe na muda ombi la barua pepe lilijibiwa kwa.
 • Saizi ya barua pepe
 • Seva ya barua ombi la barua limekuja kutoka. (Sehemu tatu angalau maalum za jina la kikao, ne1.mfano.com, lakini hapana wavu120113.barua.net.mfano.com.)

Duka la programu

Nakili kwamba kama utapata Psiphon kutoka kwa "ghili ya programu", kama kama vile Google Play Store au Amazon AppStore, takwimu za ziada zitakusanywa kwa store hiyo. Kwa mfano, haya ni maelezo kitu gani kimekusanywa na Google Play Store: https://support.google.com/googleplay/android-developer/answer/139628?hl=sw